Ufafanuzi msingi wa haya katika Kiswahili

: haya1haya2

haya1

nominoPlural haya

 • 1

  hali ya mtu kuogopa maovu au aibu yake isijulikane na watu.

 • 2

  ‘Tia haya’
  ‘Ona haya’
  ‘Hana haya’
  fedheha, soni, izara, hizaya, aibu, kinamasi

 • 3

  hali ya kusitasita kusema au kufanya jambo kwa sababu ya kumheshimu mtu mwingine.

 • 4

  hali ya kutoweza kuangalia mtu machoni.

  ‘Haya za uso’
  ‘Uso wa haya’

Asili

Kar

Matamshi

haya

/haja/

Ufafanuzi msingi wa haya katika Kiswahili

: haya1haya2

haya2

kiwakilishi

 • 1

Matamshi

haya

/haja/