Ufafanuzi wa hazini katika Kiswahili

hazini

kitenzi elekezi

  • 1

    tunza fedha.

  • 2

    weka mali au fedha katika hifadhi nzuri.

Asili

Kar

Matamshi

hazini

/hazini/