Ufafanuzi wa hebu! katika Kiswahili

hebu!, ebu!

kiingizi

 • 1

  neno linalotumiwa kuvuta usikivu wa mtu.

  ‘Hebu njoo’

 • 2

  nipe nafasi; nipishe.

  ‘Hebu nipite’
  simile, hela!

Matamshi

hebu!

/hɛbu/