Ufafanuzi wa hedashara katika Kiswahili

hedashara

nomino

  • 1

    kumi na moja.

    ‘Saa hedashara’

Asili

Kar

Matamshi

hedashara

/hɛda∫ara/