Ufafanuzi wa hedhi katika Kiswahili

hedhi

nominoPlural hedhi

  • 1

    damu inayomtoka mwanamke katika uke wake kila mwezi.

    ‘Kuwa na hedhi’
    ‘Kukata hedhi’

Asili

Kar

Matamshi

hedhi

/hɛði/