Ufafanuzi wa hedimistresi katika Kiswahili

hedimistresi

nomino

  • 1

    mkuu wa shule wa kike.

Asili

Kng

Matamshi

hedimistresi

/hɛdimistrɛsi/