Ufafanuzi wa hekaheka katika Kiswahili

hekaheka

nominoPlural hekaheka

  • 1

    shughuli nyingi zinazomfanya mtu asitulie.

    pilikapilika, mishemishe, mkikimkiki

  • 2

    ghasia, fujo

Matamshi

hekaheka

/hɛkahɛka/