Ufafanuzi wa hekalu katika Kiswahili

hekalu

nominoPlural mahekalu

  • 1

    jumba la ibada la Mayahudi, Mabaniani au Mabudha.

    sinagogi

Asili

Kar

Matamshi

hekalu

/hɛkalu/