Ufafanuzi wa hekaya katika Kiswahili

hekaya

nominoPlural hekaya

 • 1

  hadithi au kisa cha kubuniwa.

  ‘Hekaya za Abunuwasi’
  hadithi

 • 2

  tukio lolote la kustaajabisha.

  kioja, maajabu, muujiza, shani, ajabu, kituko, dungudungu

Asili

Kar

Matamshi

hekaya

/hɛkaja/