Ufafanuzi wa hekemua katika Kiswahili

hekemua

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~liwa, ~sha

  • 1

    jinyoshanyosha kama mtu anavyofanya akiamka usingizini au baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.

    jinyongoa

  • 2

    piga chafya.

    chemua

Matamshi

hekemua

/hɛkɛmuwa/