Ufafanuzi wa heko! katika Kiswahili

heko!

kiingizi

  • 1

    shangilio la kumpongeza mtu.

    ‘Toa heko’
    ‘Alimpa mwanawe heko’

Matamshi

heko!

/hɛkɔ/