Ufafanuzi wa hela! katika Kiswahili

hela!

kiingizi

  • 1

    neno la kumtahadharisha mtu.

    hebu!, simile!, angalia!

Asili

Kar

Matamshi

hela!

/hɛla/