Ufafanuzi wa helikopta katika Kiswahili

helikopta

nominoPlural helikopta

  • 1

    eropleni yenye panka juu inayoweza kutua popote.

Asili

Kng

Matamshi

helikopta

/hɛlikɔpta/