Ufafanuzi wa henza katika Kiswahili

henza

nominoPlural henza

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kamba ya kupandishia na kuteremshia tanga na foromali au bendera katika jahazi na vyombo vya baharini.

Asili

Kar

Matamshi

henza

/hɛnza/