Ufafanuzi msingi wa heri katika Kiswahili

: heri1heri2

heri1

nominoPlural heri

 • 1

  hali ya amani.

 • 2

  ‘Mtu wa heri’
  ‘Heri na baraka au fanaka’
  ‘Jaaliwa heri’
  ‘Kwaheri’
  neema, baraka, ustawi, fanaka

Ufafanuzi msingi wa heri katika Kiswahili

: heri1heri2

heri2

kielezi

 • 1

  ‘Ni heri umsikilize anayokwambia’
  methali ‘Heri kufa kuliko kufariki’
  methali ‘Heri ya mrama kuliko ya kuzama’
  methali ‘Heri kufa macho kuliko kufa moyo’

Asili

Kar

Matamshi

heri

/hɛri/