Ufafanuzi wa heria! katika Kiswahili

heria!

kiingizi

  • 1

    neno linalotumiwa hasa na makuli ili kuhadharisha mtu.

    habedari! simile!

Asili

Kre

Matamshi

heria!

/hɛrija/