Ufafanuzi wa heshima katika Kiswahili

heshima

nominoPlural heshima

 • 1

  thamani ya utu.

  utukufu, daraja la juu, jaha, maana

 • 2

  ‘Mtoto mwenye heshima’
  staha, hadhi, adabu, nidhamu, kiwango

 • 3

  kitu anachopewa mtu kama alama ya kuthaminiwa kwake.

  ‘Nakuletea nyama hii heshima ya wazee’

Asili

Kar

Matamshi

heshima

/hɛ∫ima/