Ufafanuzi wa hesi katika Kiswahili

hesi

nomino

  • 1

    mikato iliyomo katika msumari wa skrubu inayoufanya msumari uingie mahali kwa kuzungushwa.

    ‘Msumari wa hesi’

Matamshi

hesi

/hɛsi/