Ufafanuzi wa hewa katika Kiswahili

hewa

nominoPlural hewa

  • 1

    upepo mwororo unaozunguka ardhi na ambao unavutwa na viumbe.

    upepo

  • 2

    ‘Hali ya hewa’
    anga

Asili

Kar

Matamshi

hewa

/hɛwa/