Ufafanuzi msingi wa hiari katika Kiswahili

: hiari1hiari2

hiari1

kitenzi sielekezi

 • 1

  kubali bila ya kulazimishwa.

  ridhia

Asili

Kar

Matamshi

hiari

/hiari/

Ufafanuzi msingi wa hiari katika Kiswahili

: hiari1hiari2

hiari2

nominoPlural hiari

 • 1

  uchaguzi wa kutenda bila ya kulazimishwa.

  ‘Hiari yangu’
  ridhaa

Asili

Kar

Matamshi

hiari

/hijari/