Ufafanuzi wa hiba katika Kiswahili

hiba

nominoPlural hiba

  • 1

    mali anayopewa mtu kwa radhi, hasa kutaka kuonyesha upendo.

    hidaya, tunu, adia, zawadi, azizi

Asili

Kar

Matamshi

hiba

/hiba/