Ufafanuzi wa hidi katika Kiswahili

hidi

kitenzi elekezi

  • 1

    ongoza katika njia ya haki.

    ongoa

Asili

Kar

Matamshi

hidi

/hidi/