Ufafanuzi msingi wa hifadhi katika Kiswahili

: hifadhi1hifadhi2

hifadhi1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  weka mahali pa salama.

  tunza, hami

 • 2

  weka moyoni bila ya kusahau.

  ‘Kuhifadhi sura’

Asili

Kar

Matamshi

hifadhi

/hifaði/

Ufafanuzi msingi wa hifadhi katika Kiswahili

: hifadhi1hifadhi2

hifadhi2

nominoPlural hifadhi

 • 1

  mahali pa usalama.

  ‘Weka chini ya hifadhi’
  ulinzi

Asili

Kar

Matamshi

hifadhi

/hifaði/