Ufafanuzi wa hifadhi ya kisiasa katika Kiswahili

hifadhi ya kisiasa

  • 1

    mahali pa salama anapokimbilia mtu ambaye anafikiri maisha yake yapo hatarini kutokana na kutofautiana kisiasa na watawala wa nchi yake.