Ufafanuzi wa hija katika Kiswahili

hija

nominoPlural hija

  • 1

    Kidini
    ibada ya Waislamu ya kwenda Makka angalau mara moja katika maisha.

  • 2

    ibada ya kuhiji.

Asili

Kar

Matamshi

hija

/hiʄa/