Ufafanuzi msingi wa hijabu katika Kiswahili

: hijabu1hijabu2

hijabu1

nominoPlural hijabu

 • 1

  ugonjwa wa kuvimba fizi.

  kiseyeye

 • 2

  utabibu au uganga unaofanywa ili kumkinga mtu na ubaya au shari fulani; kinga ya mwili.

  ‘Huyu anataka afanyiwe hijabu’

Asili

Kar

Matamshi

hijabu

/hiʄabu/

Ufafanuzi msingi wa hijabu katika Kiswahili

: hijabu1hijabu2

hijabu2

nominoPlural hijabu

 • 1

  kitambaa kinachovaliwa na wanawake, agh. Waislamu, kinachofunika kichwa na mabega.

Asili

Kar

Matamshi

hijabu

/hiʄabu/