Ufafanuzi wa hijra katika Kiswahili

hijra

nomino

  • 1

    mwanzo wa kalenda ya Kiislamu.

Asili

Kar

Matamshi

hijra

/hiʄra/