Ufafanuzi wa hiri katika Kiswahili

hiri

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    vunja ungo; baleghe kwa mtoto wa kike.

Asili

Kar

Matamshi

hiri

/hiri/