nominoPlural mahirimu, Plural hirimu
- 1
umri hasa wa baina ya miaka 10 na 25.
nominoPlural mahirimu, Plural hirimu
- 1
watu wenye umri mmoja.
‘Vijana wa hirimu moja’rika - 2
kijana wa kiume aliyekwisha kubaleghe.
barubaru
Asili
Kar
umri hasa wa baina ya miaka 10 na 25.
watu wenye umri mmoja.
kijana wa kiume aliyekwisha kubaleghe.
Kar