Ufafanuzi wa hisabati katika Kiswahili

hisabati

nominoPlural hisabati

  • 1

    sayansi ya tarakimu inayojumuisha matawi matatu muhimu.

    ‘Aljebra, jiometria na hesabu’

Asili

Kar

Matamshi

hisabati

/hisabati/