Ufafanuzi wa hisani katika Kiswahili

hisani

nominoPlural hisani

  • 1

    moyo wa kumtendea mtu mazuri.

    ‘Alinifanyia hisani’
    wema, fadhila, ukarimu, tajamala, jamala

Asili

Kar

Matamshi

hisani

/hisani/