Ufafanuzi wa hitima katika Kiswahili

hitima

nominoPlural hitima

Kidini
  • 1

    Kidini
    kisomo cha Kurani anachosomewa maiti kumwombea Mwenyezi Mungu amrehemu.

Asili

Kar

Matamshi

hitima

/hitima/