Ufafanuzi wa hiuta katika Kiswahili

hiuta

kitenzi elekezi

  • 1

    cheza na pata mtaji katika mchezo wa bao.

Matamshi

hiuta

/hiwuta/