Ufafanuzi wa hobe! katika Kiswahili

hobe!

kiingizi

  • 1

    neno linaloonyesha matakwa ya msemaji kwa wema au kwa ubaya.

    ‘Hobe Mungu kunijaalia neema hii’
    afadhali

Matamshi

hobe!

/hɔbɛ/