Ufafanuzi msingi wa hodhi katika Kiswahili

: hodhi1hodhi2

hodhi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  rundika bidhaa au mali.

  miliki

Asili

Kar

Matamshi

hodhi

/hɔði/

Ufafanuzi msingi wa hodhi katika Kiswahili

: hodhi1hodhi2

hodhi2

nominoPlural hodhi

 • 1

 • 2

  sehemu ya ardhi iliyo shamba la mtu.

 • 3

  birika lililojengwa kwa saruji au chuma linalotumiwa kuwekea maji.

 • 4

  birika la maji ya kuogea au la kutawadhia msikitini.

Matamshi

hodhi

/hɔði/