Ufafanuzi msingi wa hofu katika Kiswahili

: hofu1hofu2

hofu1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  shindwa kukabili jambo linalohitaji vikumbo; kuwa na woga.

  ogopa, chelea

Asili

Kar

Matamshi

hofu

/hɔfu/

Ufafanuzi msingi wa hofu katika Kiswahili

: hofu1hofu2

hofu2

nominoPlural hofu

 • 1

  hali ya kutokuwa na ushujaa.

  hatihati, woga, hawafu, fadhaa, kicho, tishio

 • 2

  jambo linaloleta woga au kitisho.

Asili

Kar

Matamshi

hofu

/hɔfu/