Ufafanuzi wa hoho katika Kiswahili

hoho

nominoPlural hoho

  • 1

    pilipili ndogo sana inayowasha sana.

    ‘Pilipili hoho’

Matamshi

hoho

/hɔhɔ/