Ufafanuzi wa hoi katika Kiswahili

hoi

kivumishi

  • 1

    -enye kuchoka sana; -enye kutojiweza.

    ‘Juma yu hoi’
    taabani

Asili

Kaj

Matamshi

hoi

/hɔji/