Ufafanuzi wa hoja katika Kiswahili

hoja

nominoPlural hoja

 • 1

  jambo linalosemwa ili kupinga lililokwisha semwa.

 • 2

  jambo la kuthibitisha kuwa suala fulani ni sawa.

 • 3

  swali

 • 4

  pendekezo linalotolewa katika mkutano k.v. bunge.

  ‘Hoja ya serikali’

Matamshi

hoja

/hɔʄa/