Ufafanuzi wa hojaji katika Kiswahili

hojaji

nominoPlural hojaji

  • 1

    karatasi yenye maswali ya uchunguzi.

Matamshi

hojaji

/hɔʄaʄi/