Ufafanuzi wa hoji katika Kiswahili

hoji

kitenzi elekezi

  • 1

    uliza mtu maswali ili kupata ukweli wa mambo.

    saili, dodosa, uliza

  • 2

    endesha hukumu.

Matamshi

hoji

/hɔʄi/