Ufafanuzi wa hoka katika Kiswahili

hoka

kitenzi sielekezi

  • 1

    shindana na hali, jambo au kitu kigumu.

  • 2

    kazana, menyana

Matamshi

hoka

/hɔka/