Ufafanuzi msingi wa hombo katika Kiswahili

: hombo1hombo2

hombo1

kielezi

  • 1

    kwa wingi.

    ‘Leo kuna samaki hombo’

Matamshi

hombo

/hɔmbɔ/

Ufafanuzi msingi wa hombo katika Kiswahili

: hombo1hombo2

hombo2

nominoPlural hombo

Matamshi

hombo

/hɔmbɔ/