Ufafanuzi wa homoa katika Kiswahili

homoa

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    ivisha kitu k.v. muhogo mpaka kilainike.

  • 2

    starehe kwa kula vyakula laini.

Matamshi

homoa

/hɔmɔwa/