Ufafanuzi wa homoni katika Kiswahili

homoni

nominoPlural homoni

  • 1

    dutu inayotolewa na seli maalumu katika miili ya viumbe inayochochea mabadiliko ya seli fulanifulani na kupelekwa katika sehemu ya mwili kwa lengo la kujenga tishu mbalimbali.

Asili

Kng

Matamshi

homoni

/hɔmɔni/