Ufafanuzi wa homonimu katika Kiswahili

homonimu

nominoPlural homonimu

  • 1

    neno lenye tahajia sawa na jingine lakini maana tofauti.

Asili

Kng

Matamshi

homonimu

/hɔmɔnimu/