Ufafanuzi wa honga katika Kiswahili

honga

kitenzi elekezi

  • 1

    toa pesa au zawadi ili kupata kitu, agh. usichokistahiki au kwa haraka; toa rushwa.

  • 2

    toa zawadi kwa mwanamke au mwanamume kwa nia ya kupata mahaba.

Matamshi

honga

/hɔnga/