Ufafanuzi wa honi katika Kiswahili

honi

nominoPlural honi

 • 1

  kitu kilicho kwenye usukani wa k.v. gari au baiskeli ambacho kikibonyezwa hutoa sauti ya kuonya watu au motokaa nyingine.

 • 2

  sauti inayotokana na kitu hicho.

 • 3

  paipu inayolia wakati maalumu kuashiria jambo fulani.

  king’ora

Asili

Kng

Matamshi

honi

/hɔni/