Ufafanuzi msingi wa hori katika Kiswahili

: hori1hori2hori3

hori1

nomino

 • 1

  sehemu ya bahari iliyoingia ndani ya nchi kavu; mlango bahari.

  komeo, ghuba

Asili

Kaj

Matamshi

hori

/hɔri/

Ufafanuzi msingi wa hori katika Kiswahili

: hori1hori2hori3

hori2

nomino

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  chombo cha baharini kilicho kidogo kuliko dau.

  mtumbwi

Asili

Kaj

Matamshi

hori

/hɔri/

Ufafanuzi msingi wa hori katika Kiswahili

: hori1hori2hori3

hori3

nomino

 • 1

  chombo maalumu cha kulishia wanyama.

Asili

Kaj

Matamshi

hori

/hɔri/