Ufafanuzi wa hosteli katika Kiswahili

hosteli

nomino

  • 1

    nyumba yenye vyumba vingi vinavyokodishwa kwa ajili ya kuishi.

    bweni

Asili

Kng

Matamshi

hosteli

/hɔstɛli/